Chadema yaendelea kupata pigo, Mbunge mwingine ang’atuka na kujiunga na CCM

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Sunday, October 14, 2018

Chadema yaendelea kupata pigo, Mbunge mwingine ang’atuka na kujiunga na CCM

Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)
Share :
Facebook Twitter Google+

 

Back To Top